Baada ya kuzuia msiba wa hayati ndesamburo.mkuu wa mkoa arusha mh. Mrisho gambo,makubwa yaibuka juu yake, hiyo imewekwa wazi na Meya wake-Arusha kuwa kwanza alikuwa na kosa la kumdharirisha kwa kumtukana mwanamke na hukumu ilikuwa imetolewa na mahakama ya mkazi Tanga, baada ya dada huyo kumshitaki na kumshinda kesi, alitakiwa kutumikia adhabu hiyo, kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kosa la jinai kushika hatamu ya uongozi wakati hukumu ya kosa kisheria ilishahukumiwa, hivyo inaonekana tujiulize huu ukuu wa mkoa aliupataje, alimdanga Rais MAGUFULI?
<>centerBONYEZA HAPO KWENYE PICHA KUPATA HABARI KAMILI KWA VIDEO>center
<>center
>center