Mauaji mengine yametokea IKIRIRI mkuranga, maiti imekutewa ikielea juu ya maji, wakati huo huo inasemekana mwenyekiti wa kijiji jin halija fahamika mpaka sasa ,imetekwa na watu wasiojulikana na inasemekama kuwa ni magaidi wanaotafutwa na jeshi la polisi, baada ya kufanya mauaji ya viongoz wa serikari wilayani humo,

 
Top