mwenyekiti wa chama CHAUMA, hashim sponda rungwe,baada ya magufuli kumtua aliyekuwa mwenyekiti wa chama  ACT- Anna mgwira kuwa mkuu wa mkoa kilimanjaro,ilisemekana kuwa magufuli ndio raisi, w kwanza kuvunja miiko ya kuteua upinzani,lakini si kweli maelezo hayo yamepigwa na mh, hashimu rungwe.na kusema hata vingoz wa nyuma walishafanya hivyp

                      BONYEZA HAPA KWA HABARI NA VIDEO ZAIDI
 
Top